MADUDU ya KUTISHA YAFICHUKA! MKURUGENZI BILA HOFU AMWAMBIA YOTE MAKONDA - WATUMISHI WAMEPIGA PESA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 апр 2025
  • MADUDU ya KUTISHA YAFICHUKA! MKURUGENZI BILA HOFU AMWAMBIA YOTE MAKONDA - WATUMISHI WAMEPIGA PESA
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 227

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 Год назад +7

    Mkurugenzi maua yako🌼🌼🌹💐🌺🥀🌹

  • @sheckycobb5240
    @sheckycobb5240 Год назад +9

    Makonda take care na Mungu akulipe

  • @aminielyusufu4351
    @aminielyusufu4351 Год назад +16

    Kaka MUNGU wetu wa Isaka, Ibrahim & Yakobo akulinde Mhe. Makonda. Una kazi kubwa mbele kaka yangu. Mungu akulinde tu

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 Год назад +18

    Hongera mkurugenz na Mnec aongezewe nguvu Ccm inogile

  • @johnmamilo1326
    @johnmamilo1326 Год назад +7

    Nimefurahi sana kuona ujasiri wa mwalimu wangu wa chuo @Chaurembo. Mungu akulinde sana

  • @saidimketo6708
    @saidimketo6708 Год назад +8

    Makonda ww kweli mtoto wa maskini unajua shida za watanzani kwenye hiyo serikali yako kama mtawajibika kama unavyofanya ww mtalaishia kazi mama kabisa masikini mama anapambana lkn kuna viongozi ni majizi kupita kiasi daah😢😢😢

  • @PaulBakanga
    @PaulBakanga Год назад +1

    Baada ya maelezo ya Mkurugenzi kelele zote chaliiiii,proud of you Chaulembo

  • @MrishoMalango
    @MrishoMalango Год назад +7

    Mungu akulinde sana kiongoz wetu

  • @aminaabdulghanim8256
    @aminaabdulghanim8256 9 месяцев назад +1

    Mashallah kazi nzuri muheshimiwa ❤ kusafisha ufisadi. Hivi kufanya uadilifu ni kazi ngumu? ogopeni Mungu.

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 Год назад +19

    Ziara za Mhe. Makonda zinadhihirisha kuwa Watanzania wana shida kuliko maelezo. Wako wapi viongozi RC,DC nk?

  • @PaulBakanga
    @PaulBakanga Год назад +4

    Hongera sana Mkurugenzi 💪

  • @casseverria4625
    @casseverria4625 Год назад +16

    Alafu Nay wa Mitego akiimba mwamuburuza BASATA mwamfungia nyimbo zake😅😅😅😅😅

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 Год назад +2

      Kwel kabisaa yana muonea tuu majitu yana tuibia sana

    • @DeusKileo
      @DeusKileo Год назад +2

      Yawezekana wale ney alowaimba ndo wanamsweka ndan wakishirikiana na basata

  • @SundayMapunda-k9f
    @SundayMapunda-k9f 5 месяцев назад

    Makonda ni kiongozi bora tanzania,mungu ambariki sana

  • @SayyidAhmadBaalawy
    @SayyidAhmadBaalawy Год назад +5

    Hii filamu Haitaisha kwakweli Makonda starring Na Mkanda wakuendelea Mpaka kieleweke! Fuatilia tu mikanda hii haimaliziki.

  • @neemamasudi7988
    @neemamasudi7988 Год назад +8

    Makonda nimeona Magufuli wapili mungu akubariki kaka yangu, from Congo 🇨🇩 to Sweden 🇸🇪.

  • @mwanagwakyala3213
    @mwanagwakyala3213 Год назад +9

    Pongezi sana kwa kuweka maisha rehani

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 Год назад +11

    Sasa hizi mambo kama hujaonana na makonda ndio basi

  • @jokhamohammed976
    @jokhamohammed976 9 месяцев назад

    Makonda oyeeeeee M/mungu akusimamie Kila atua unayo piga 🌹

  • @flavianfrank6256
    @flavianfrank6256 Год назад +3

    Ukweli mungu atuhurumie sana

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 Год назад +1

    Mkurugenzi safi sana

  • @SirajiZacharia
    @SirajiZacharia Год назад +2

    Mkurugenzi huyo mshikirieni yuko vizuri sana pia

  • @MikidadiMahumbi
    @MikidadiMahumbi Год назад +7

    Makonda wew nikiongozi tuko nyuma yako mungu akufanyie wepesi

  • @josephmkami
    @josephmkami Год назад +2

    Hongera Mkurugenzi kwa majibu na kwa kujiamini

  • @NestoryMwezimpya-bc7th
    @NestoryMwezimpya-bc7th Год назад +2

    Makonda tutaendelea kumuombea mungu atakulinda na kukupa afia njema Ili uendelee kufanya kazi ya kutusaidia watanzania lakini tunaoma mwenyezi mungu ampe laisi moyo wa kuendelea kukupa sapoti kubwa zaidi na viongozi wa ccm waendelee kuku kapani mungu akubaliki sana

  • @ismaelgadiye4488
    @ismaelgadiye4488 Год назад +7

    Mkurugenzi hongera sana kweli unauwezo makubwa umeonesha usomi wako hakika hiyo halimashauri Ina mtu hata tingisha kichwa umetema cheche nimependa ujasiri wako

    • @rynerlinuma8484
      @rynerlinuma8484 Год назад

      Ni kweli kaonesha ujasiri...lakini je, yote alosema ni sahihi? Ukiwa huidai wewe Halmashauri au Serikali unawezaona ni sawa tu. Imagine mtu kakopa nondo tani 25...then mtu halipwi. Unaambiwa kiurahisi tu kuanzia 01.07.2024. Ujue hiyo sio exact maana hadi pesa iletwe. Na pesa haziletwi hiyo tarehe..ifikie mwezi October vifungu ndio vinafunguliwa...mtu kasupply Oct. 2023. Huu ni uhovyo

  • @batilda4920
    @batilda4920 Год назад +9

    viongozi wanakula Hela sana mama anajitaidi sna kutoa pesa kuleta maendeleo lkn viongozi wanapiga ela Kodi zetu hizo wanakula.

    • @benjaminmiselya2622
      @benjaminmiselya2622 Год назад +1

      SAMIA kasema kula kwa urefu wa kamba yake

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Год назад +1

      ​@@benjaminmiselya2622HAJA MAANISHA UIBE JUWA KISWAHILI VIZURI HUWEZI KUWA MKUU WA WILAYA NA KUTAKA MAISHA KAMA YA MKUU WA MKOWA HIYO NDIO MAANA YAKE.

    • @josephwilliammnyune5464
      @josephwilliammnyune5464 Год назад +2

      Hao viongozi wamewekwa na nani? Na huyo anaeambiwa matatizo hayo ni nani?
      Miaka ya uchaguzi hii, tutaona mengi.

  • @adamjosephkatigizu19
    @adamjosephkatigizu19 Год назад +5

    Ee, Mwenyezi Mungu mlinde kiongozi we Paul Makonda zidi ya maadui wasimzuru

  • @rehemahussein3307
    @rehemahussein3307 Год назад +2

    Hongera sana DED Msomi hakika unaweza

  • @ephrahimalfaxard4134
    @ephrahimalfaxard4134 Год назад +2

    Nimekupenda Sana dadangu macho manne

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 2 месяца назад

    Wewe mwanangu usali sana uombe Mungu maana manabii wamekwisha
    pita lakini wapo wenye element za unabii kama wewe Makonda. Mungu akulinde na akuhifadhi na maovu na waovu

  • @martinabayyo9982
    @martinabayyo9982 Год назад +1

    Makonda Mungu akulinde jamani

  • @salumuhassani590
    @salumuhassani590 Год назад +1

    Huyu DED katokea wilaya yetu ya Nanyumbu ingawa hapa alikua mkuu wa wilaya, kiukweli huyu mama yupo vizuri saana, alibadilishiwa majukumu kutoka kua mkuu wa wilaya na kwenda kua mkurugenzi kiukweli tulimpenda saana kiongozi wetu

  • @MSOMBAAlon-gh3ps
    @MSOMBAAlon-gh3ps Год назад +6

    Mheshimiwa makonda umeyaona hayo madudu ni tabu sana wananchi tunatekeseka sana .

  • @rajabusaimon7662
    @rajabusaimon7662 Год назад +5

    Makonda ukimaliza ziala kaa na chama chako waambie kumaliza haya matatizo viongozi wote wa mkoa wachaguliwe na wananchi sio kuteuwa mtu ambae hajui uchungu wa eneo husika

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 Год назад +7

    Yani wanawanyanyasa sn wafanyabiashara

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 10 месяцев назад

    Dada chaurembo ❤

  • @Charleslsk
    @Charleslsk Год назад

    I believe in you makonda❤❤❤❤

  • @godymbanyi1878
    @godymbanyi1878 Год назад +9

    Ukiwa na DED msomi na anajiamini kama huyu, hadi raha

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 Год назад +3

    HIVI HIZI COMPUTER ZOOOOTE ZINAZONUNULIWA KWENYE MAOFISI ZIBAFANYA KAZI GANI?. MNAHAKIKI NINI NA KUMBUKUMBU ZOTE ZINAHIVAZIWA KWENYE COMPUTER? . HIVI MBONA MKO HIVI?

  • @salmanmagwe2612
    @salmanmagwe2612 Год назад +3

    Huyu Mkurugenzi dada Chaurembo ni hodari mno na anafaa kuongoza Idara kubwa zaidi kwani ni mfuatiliaji mzuri sana na ni mzalendo.

    • @gallusmbaga5522
      @gallusmbaga5522 Год назад +1

      Ila anaposema ataanza kulipa mwezi wa Saba akumbuke mikataba ina kipengele Cha RIBA kwa malipo yaliyocheleweshwa.
      Ninashauri akae na hao wafanyabiashara wakubaliane ili kusogeza muda Hadi huko mwezi wa Saba vinginevyo riba itahusika.

    • @RamlahNassoro
      @RamlahNassoro Год назад

      Yaani yuko vizuri maa shaa Allaah na mtu mwengine anaitwa Subira mgalu yaani Kuna wadada wapo vizuri kiuongozi

  • @jamesmwita2995
    @jamesmwita2995 Год назад +2

    Mkurugenzi yuko vizur sana ila hao wengine mtihani

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 Год назад

    Kuachicha Mtu kazi au kumfukuza kazi je watoto wa hizo Familia watakula nini ? Oni langu nikuwaonya Wananchi kufanya kazi kwa uaminifu asante

  • @gatuna6
    @gatuna6 Год назад +5

    Makonda kila ukiona mtuhumiwa amepatikana na maskosa unamwachisha kazi. Hadharani aondoke hadharani. Hapo ndipo tutakapo komesha wa hujumu uchumi. Wa Tanzania.

  • @sponsertv5039
    @sponsertv5039 Год назад

    Mh Dr Samia Suruh hasan, endapo ikatokea wakamuua mh makonda naomba uniteue mimi tuone kama na mm wataniweza.

  • @naimarishedy1523
    @naimarishedy1523 Год назад

    Makonda mungu akubariki 🤲 hii nchi hata sie wanawake hatufai unatetea madudu😅😅

  • @DiniMwambashi
    @DiniMwambashi Год назад +3

    Kaka fanya kazi pamoja sana

  • @shabaniramadhani8891
    @shabaniramadhani8891 Год назад +4

    Mwamba ana mizimu ya Magufuli

  • @YunisJerald
    @YunisJerald Год назад +1

    Wanajua kuvaa kaunda suti hawa wakurugenzi jamani lkn wanamuaibisha mama yetu samia.

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 Год назад

    Super mamusi mazuri kutok kwa Mheshimiwa Makonda

  • @ullujaffariyohani1186
    @ullujaffariyohani1186 Год назад

    Sasa mtu anafanya kosa la wizi unamuhamishia idara nyingine😮 kweli hii ni sawa😮

  • @HalimaHalimajuma
    @HalimaHalimajuma 11 месяцев назад

    Watu engine wanaishi kwe nye mingogo ya wt muheshimiwa pasua majipu

  • @SalmaLinyaka
    @SalmaLinyaka 2 месяца назад

    Hao wakurugenzi nchi nzima nikelo

  • @edwinogega267
    @edwinogega267 Год назад +12

    How i wish things were working this way in Kenya...we could have gone far by far lakini ZAKAYO RUTO NAYE NI NANI. MUNGU SAIDIA KENYA 🇰🇪

  • @koletakilasa5988
    @koletakilasa5988 Год назад +5

    Makonda umenipa imani yakuishi barikiwa sanaaaa ila baba ninashida namtaji

  • @kristopapaapaulo811
    @kristopapaapaulo811 Год назад

    Hii imeenda😂😂😂😂😂

  • @tintz3157
    @tintz3157 Год назад

    Piga kazi baba Keegan wewe ni Raisi ajaye awamu ya Nane (8) Mungu akulinde

  • @jamesmwita2995
    @jamesmwita2995 Год назад +2

    Mkurugenzi yuko vizur

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 Год назад +2

    Yan viongoz wore wangekuwa kama mh Makonda nchi ingekuwa na adabu sana

  • @jumanesaidi7635
    @jumanesaidi7635 Год назад

    Duh ! !
    Mama Tz, wanakusaliti kwa kukutafuna ili ufe kabisa?

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 Год назад +3

    Mafisadi watamchukia sana Makonda wapo tayari kumuuwa ili waendelee Ufisadi kama walivyomuuwa a JPM😭🇹🇿

  • @Eusebia-e1y
    @Eusebia-e1y Год назад +11

    Haya ni maajabu ya Dunia yafaa yaingie kwenye Genes book😢 hiyo shule inayojengwa kwa bilioni nne ni Kijiji au! Wananchi wanakatwa Kodi tena kwa kwamba shingoni, Kuna watu nchi hii kwenye jamii Wana matatizo ya hatari; kama Afya, Elimu nk. Kuna shule za msingi huko vijijini utadhani ni mabanda ya kufugia nguruwe kwa jinsi yalivyochakaa: kama Kuna anayebisha aende shule ya msingi kombo mkoani Kilimanjaro pale kibosho mtaona😮 Leo hii watu wanapewa bilioni nne na wanasema hazitoshi. Waziri wa Elimu atembelee shule za msingi za vijijini mkoani Kilimanjaro aone maajabu ya Dunia

    • @sheckycobb5240
      @sheckycobb5240 Год назад

      Hyo bilion me hata mi sikubali, shule moja ya msingi mi milioni 328 tu inaisha madarasa 9

  • @ismaelgadiye4488
    @ismaelgadiye4488 Год назад +5

    Nafuu makonda umekiri uzito wa mzigo we ni mwanaume kweli na mwazi

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 Год назад +4

    Makonda anahudumia wananchi ipaswavyo Nchi inajengwa na wananchi ni bora sana anavyofanya mheshimiwa makonda kushirikiana na wananchi kutatuwa kero amerithi mbinu mbadala wa kupambana na UFISADI 🇹🇿

  • @makongorowassira6593
    @makongorowassira6593 Год назад

    Hakuna ulaji wa hela kama ulivyo mawilayani, wanapiga hela kama juu😂😂
    Sio Tunduma tu ni wilaya zote

  • @SmilingHot-AirBalloons-em3mb
    @SmilingHot-AirBalloons-em3mb Год назад

    Makonda noma sanaa!

  • @edinachami4318
    @edinachami4318 Год назад

    Me huwa naskia raha ziara yamakonda kuliko ya raisi na makamu wake

  • @Japhary-sx3je
    @Japhary-sx3je Год назад +3

    Mkulungenzi upo vizuri

    • @RamlahNassoro
      @RamlahNassoro Год назад

      Huyu kiumbe ana khatar anaitwa Mariam khatibu chaurembo maa Shaa Allaah ana moyo mwema huyu kiumbe namfahamu vizuri

  • @siliviamushi4119
    @siliviamushi4119 11 месяцев назад

    Ajamani hawa watu wanawaonea sanaa wanyenge jmn

  • @FatumaLali-k7z
    @FatumaLali-k7z Год назад

    Watumishi wa aina hiyo ndio wanaofanya CCM yetu ama serikali yetu wananchi waichukie.

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 Год назад +5

    Piga kazi makonda utembee usikae chini tena inuka nao mwanzo mwisho

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 10 месяцев назад

    Bilioni nne ni gorofa la nchi gani ?

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 10 месяцев назад

    Mnachambua ni mchele huo?

  • @ephrahimalfaxard4134
    @ephrahimalfaxard4134 Год назад +2

    Kosa walilolifanya ni kuniteua Mimi kuwa mwenez❤

  • @brunidamadege3747
    @brunidamadege3747 Год назад

    Watoto wawe nzenu mnachowafanyia mnataka wawe wezi?

  • @JeyJeydoctar-gq1bw
    @JeyJeydoctar-gq1bw Год назад

    Yani makonda anajua sana shida za watanzania wengine mnafanya nini kama hapa pesa zinatumika ovyo na viongoz wapo likn wapo tuu kimya sasa MAKONDA akifanya kweli binge msione wivu kaa kimyaa

  • @FatmaSeif-c5n
    @FatmaSeif-c5n Год назад +2

    Nice

  • @ullujaffariyohani1186
    @ullujaffariyohani1186 Год назад

    Yaani ni washenzi tu na Wana roho mbaya sana

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 Год назад +3

    Kuwa waziri mkuu tuwanyooshe

  • @Alfredmusa24
    @Alfredmusa24 Год назад

    Huu ni mkoa gani??😢😢

  • @HalimaHalimajuma
    @HalimaHalimajuma 11 месяцев назад

    Wt anapewa madalaka kwa faida yao

  • @ismaelgadiye4488
    @ismaelgadiye4488 Год назад +5

    Waumbue hivyo hivyo nchi iko icu

    • @PhinaGeorge-o5m
      @PhinaGeorge-o5m Год назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @kibwetere1418
    @kibwetere1418 Год назад +1

    Kwakweli huyu jamaa anasaidia sana!!

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo Год назад

    Wanatakiwa wote wawe kama makonda maana yupo arusha tu

  • @LucasMalima-i9b
    @LucasMalima-i9b Год назад +1

    Mama wambiye viongozi wote waje kwenye mkutano ya makonda wajibu utaona tanzania itakwenda tuu watanzania niwengi waliyo nyuma yako viongozi wachache

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 Год назад

    Wamemchokoza beya kimetoka chuma kimeingia chuma😂😂😂😅😅🤣🤣🤣🤣

  • @hamisimwinyi-c5t
    @hamisimwinyi-c5t Год назад +1

    HONGERA SANA RAIS SAMIA KUMCHAGUA MAKONDA

  • @RogerMsaky-de3gi
    @RogerMsaky-de3gi Год назад +1

    Nimegundua wananchi wanaichukia serikali kwa mambo ya kipuuz Kama haya

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 Год назад +3

    Hapo ndio napata picha Kuna wale ambao wasijuwa kuongea sijui wanaishi vipi ? Pesa Yako umekopa umefanya Biashara halafu hulipwi

  • @jumarajabu1624
    @jumarajabu1624 Год назад

    Makonda kwanini usiwe raisi tuuu moja Kwa moja upo vizuri

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 Год назад +1

    MUNGU akubarik makonda

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 Год назад +3

    Miaka yote uyu mwamba alikuwa wapi

    • @ephrahimalfaxard4134
      @ephrahimalfaxard4134 Год назад +1

      Walikificha kipaj chake
      Sasa kimeibuka hadharan, japo anayalisk maisha yake!

  • @robatigodfrey4847
    @robatigodfrey4847 Год назад

    kiukweli watu wanatamanikiwa na viongozi wa namna hii viongozi wanao tetea kero za wananchi kwanamna hii...makonda wewe niongozi viongozi wengine wanaitajika kijifunza kwa utendaji wa namna hii

  • @ALFREDJohn-z8p
    @ALFREDJohn-z8p Год назад +2

    Makonda umejua kuwaonyesha

  • @sositenesssabuni2480
    @sositenesssabuni2480 Год назад +1

    Ndio maana mafundi wengi hua hatupendi kuifanya kazi zao sababu malipo ndio kama hivyo Bora kufanya kazi kwa mchina.

  • @Alfredmusa24
    @Alfredmusa24 Год назад +1

    Mkoa gani

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 Год назад

    Mmmhhh haya

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics Год назад

    MAKONDA AKIJA MKOA WA PWANI WILAYA YA KIBITI VIONGOZI WATAKUFA KWA PRESHA MAANA KUNA MADUDU HATARI. kwaiyo mgeni njoo mgeni ashibe karibu mkoa wa pwani.

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Год назад

    Wakuu wa wilaya na mikoa waondolewe tu makonda anatosha

  • @EdwardMasai
    @EdwardMasai Год назад

    Safisanamakondo kwa kutumia mafisadi

  • @FatumaLali-k7z
    @FatumaLali-k7z Год назад

    Mkurugezi ni mzalendo ndio maana amekuwa jasiri.